banner

July 07, 2016

WEMA SEPETU ATUMA SALAMU HIZI KWA MAMA YAKE DIAMOND

WEMA SEPETU ATUMA SALAMU HIZI KWA MAMA YAKE DIAMOND

July 7 2016 ni siku ambayo anazaliwa mama mzazi wa staa wa bongo fleva Diamond Platnumz ambapo pamoja na watu wengi kumtakia kila la kheri  yupo pia mrembo Wema Sepetu ambaye kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ya Mama yake Diamond akaisindikizia na maneno haya .. >>>’Happy Birthday mamy akee…. ðŸ˜˜ðŸ˜˜ðŸ˜˜



Bofya HAPA Ku-install App ya Ruwehy Official ili usi sumbuke kuingia kwenye website



Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search