banner

July 01, 2016

ZALTAN IBRAHIMOVIC ATUA RASMI MANCHESTER UNITED

ZALTAN IBRAHIMOVIC ATUA RASMI MANCHESTER UNITED

Mshambuliaji toka Sweden Ibrahimovic leo ametia saini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Manchester United. Hii ni baada ya muda mrefu wa uvumi kuhusu klabu atakayotua baada ya kuihama klabu ya PSG.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search