banner

August 01, 2016

REMEX YA 'MMENIROGA " YA STAMINA KUACHIWA RASMI KESHO, ROMA, JAY MOE WAHUSHIKA

REMEX YA 'MMENIROGA " YA STAMINA KUACHIWA RASMI KESHO, ROMA, JAY MOE WAHUSHIKA

Wiki iliyopita Staminah aliweka wazi kuwa kuna remix ya ngoma yake ya “Mmeniroga” ambayo iko njiani kutoka na kwenye ngoma hiyo amewapa mashavu wakali wawili wa Hiphop Jay Moe na Roma.
Imethibitishwa kuwa Jumanne ya Tarehe 2 ndiyo siku rasmi ya ngoma kuachiwa kwa mashabiki ikiwa ngoma hiyo imepikwa na producer Rash Don wa Kiri Records ikiwa Video Staminah alithibitisha kufanywa na Msafiri wa Kwetu Studios.

Aliithibitisha kauli hiyo msanii Stereo baada ya ku post katika ukurasa wake wa Instagram cover ya remix hiyo inayo vikutanisha vichwa vitatu vya muziki wa Hiphop Tanzania.


Bofya HAPA Ku-install App ya Ruwehy Official ili usi sumbuke kuingia kwenye website

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search