banner

February 23, 2017

WEMA SEPETU KUJIUNGA NA CHADEMA.

WEMA SEPETU KUJIUNGA NA CHADEMA.

Muigizaji Wema Sepetu ni miongoni mwa wanachama wapya wa Chadema wanaotarajiwa kukaribishwa leo na Mwenyekiti, Freeman Mbowe.
Habari hizo zimekuja baada ya  Wema Sepetu kuonekana Makahama kuu na viongozi Wa chadema wakati kesi ya kikatiba ya Freeman Mbowe ikiwasilishwa Mahakamani hapo.

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search