banner

April 28, 2017

PAMOJA SULUHU YA CITY VS UNITED, GUARDIOLA BADO MBABE WA MOURINHO

PAMOJA SULUHU YA CITY VS UNITED, GUARDIOLA BADO MBABE WA MOURINHO

Jose Mourinho na Pep Guardiola ni wapinzani kweli na wamekuwa wakikutana wakiwa katika timu mbalimbali za nchi tofauti.

Leo ilikuwa kazi ngumu ya Man City inayonolewa na Guardiola dhidi ya Man United chini ya Mourinho, mwisho ni sare ya bila kufungana.

Rekodi zinaonyesha Guardiola kashinda mechi nyingi zaidi ya Mourinho katika mechi walizokutana.


REKODI:
Mourinho kashinda: 4
Guardiola kashinda: 8

Sare: 7

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search