banner

May 02, 2017

MADRID HAWA HAPA TAYARI KWA AJILI YA MADRID LIGI YA MABINGWA LEO

MADRID HAWA HAPA TAYARI KWA AJILI YA MADRID LIGI YA MABINGWA LEO

Kazi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya nusu fainali inaanza Leo.

Real Madrid watakuwa nyumbani dhidi ya jirani zao Atletico Madrid.

Mechi hiyo kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu inasubiriwa kwa hamu kubwa.

Madrid wakiongozwa na Kocha Zinedine Zidane na nyota wao Cristiano Ronaldo, wameonekana wako tayari kwa mechi ya keshii.

Hata hivyo, haitakuwa mechi laini hata kidogo na watalazimika kufanya kazi ya ziada ili kujiweka vizuri kabla ya mechi ya pili kwenye Uwanja wa Vincete Calderon.










Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search