banner

June 22, 2017

JUVENTUS YATHIBITISHA DANI ALVES ANAONDOKA, MBIONI KUTUA MAN CITY

JUVENTUS YATHIBITISHA DANI ALVES ANAONDOKA, MBIONI KUTUA MAN CITY

Bosi wa Klabu ya Juventus, Giuseppe Marotta amethibitisha kuwa beki Dani Alves ataiacha klabu hiyo baada ya kuichezea kwa msimu mmoja tu.
Beki huyo raia wa Brazil alijiunga Juventus akitokea Barcelona mwaka mmoja uliopita na amekuwa na mafanikio makubwa kwenye kikosi cha Juventus, anahusishwa kutua Manchester City.
Licha ya kuwa alisaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Juventus, Dani Alves alikuwa na mazungumzo na klabu yake hiyo kwa ajili ya kuruhusiwa kuondoka.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search