banner

June 15, 2017

MANCHESTER UNITED WAMTAMBULISHA BEKI WAO MPYA

MANCHESTER UNITED WAMTAMBULISHA BEKI WAO MPYA

Klabu ya soka ya Manchester United imekamilisha taratibu za kumsajili mchezaji wa sehemu ya ulinzi kutoka Sweden, Victor Lindelof kwa pauni milioni 31.
Man United ilithibitisha kuwa tayari inakamilisha taratibu za kumsajili beki huyo, ambaye atakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na kocha Jose Mourinho kipindi hiki cha majira ya kiangazi.
Lindelof anatokea klabu ya Benfica ya nchini Ureno aliyojiunga nayo mwaka 2012.
Mkataba wa Lindelof utakuwa wa miaka minne katika klabu hiyo ya Manchester United.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search