banner

June 02, 2017

TANZANIA YASHUKA VIWANGO VYA FIFA

TANZANIA YASHUKA VIWANGO VYA FIFA

Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limetoka viwango vipya vya ubora wa soka duniani ambapo Tanzania imeshuka kwa nafasi nne.
Katika orodha hiyo ya viwano iliyotolewa Alhamisi ya Juni mosi, Tanzania sasa inashika nafasi ya 139, wkati nchi nyingi za Afrika Mashabiki, Kenya inashika nafai ya 74 ikiwa imepanda kwa nafasi nne, Uganda nafasi ya 71 ikiwa imepanda kwa nafasi moja.

Rwanda  inashika nafasi ya 128 ikiwa imeshuka kwa nafasi 10, Burundi ipo nafasi ya 148 ikiwa ni baada ya kushuka kwa nafasi saba.

Brazil imeendelea kushika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na Argentina kisha Ujerumani, orodha kamili ya timu 10 zinazoshika nafasi 10 za juu katika viwango hivyo ni:

1    Brazil    
2    Argentina    
3    Ujerumani    
4    Chile    
5    Colombia    
6    Ufanransa    
7    Ublegiji    
8    Ureno
9    Switzerland
10    Hispania

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search