banner

May 22, 2019

HIZI HAPA TIMU 10 KUSHUKA UWANJANI LEO TPL

HIZI HAPA TIMU 10 KUSHUKA UWANJANI LEO TPL

LEO Ligi Kuu Bara inaendelea ambapo timu 10 zitakuwa uwanjani kumenyana kutafuta pointi tatu muhimu kwenye viwanja vitano tofauti kama ifuatavyo:-

Ndanda v Lipuli, uwanja wa Nangwanda.

Mwadui FC v Lyon, uwanja wa Mwadui Complex.

Azam v Mtibwa, uwanja wa Azam.

Yanga v Mbeya City, uwanja wa Uhuru.

Alliance FC v Stand United, uwanja wa Nyamagana.


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search