banner

June 19, 2019

EXCLUSIVE!! YANGA YAMALIZANA NA ALLY ALLY, AMWAGA WINO WA MIAKA MIWILI

EXCLUSIVE!! YANGA YAMALIZANA NA ALLY ALLY, AMWAGA WINO WA MIAKA MIWILI


Beki kiraka wa timu ya KMC, Ally Ally 'Mwarabu'  amemalizana na uongozi wa Yanga kwa kusaini mkataba wa miaka miwili

Ally amekuwa bora ndani ya KMC hali iliyomvutia Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera na kuacha maagizo kwamba naye aongezwe kwa wachezaji wa ndani.

Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredirick Mwakalebela amesema kuwa mipango ya usajili inaendelea kwa sasa kwa wachezaji wa ndani kwani wale wa kigeni wamekamilisha maagizo ya mwalimu kwa asilimia 90.


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search