banner

October 14, 2019

RWANDA, TANZANIA LEO NGOMA DROO MCHEZO WA KIMATAIFA

RWANDA, TANZANIA LEO NGOMA DROO MCHEZO WA KIMATAIFA


MCHEZO wa kimataifa wa kirafiki kati ya timu ya Rwanda na Tanzania umekamilika kwa timu zote mbili kutoshana nguvu bila kufungana.

Mchezo wa leo ulikuwa na ushindani mkubwa na dakika tisini zimekamilika kwa timu zote kutoka sare ya 0-0.

Kocha msaidizi wa Stars, Seleman Matola amesema kuwa wachezaji walipambana kupata matokeo ila bahati haikuwa yao.



Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search