banner

January 13, 2020

LIVE FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI: MTIBWA SUGAR 0-0 SIMBA

LIVE FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI: MTIBWA SUGAR 0-0 SIMBA



Dakika ya 15 Gadiel Michael anapeleka ndani ya 18, Miraj anamtengeneza Kagere mabeki wanaanua mazima
Dakika ya 15 Issa Rashid, Humud anapeleka mbele mashambulizi anazuiwa na Shamte
Dakika ya 14 Ndemla anapiga pasi ndefu mbele inakwama inakutana na Issa Rashid, Gadiel Michael anapeleka pasi kwa Kagere anapishana na mpira
Dakika ya 13  Mtibwa wanaliandama eneo la Simba
Dakika ya 11 Nyoni ananzisha kwake Mkude wanarudishiana tena nyuma na Nyoni
Dakika ya 10 Mkude, Ndemla, Chama, Mkude, Rashid Juma, Gadiel Michael anapaisha
Dakika ya 09 Kona haizai matunda, Kakolanya aanzisha mashambulizi
Dakika ya 08 Mtibwa Sugar inapata faulo karibu na eneo la Simba inapigwa na Onesmo Mayaya anaipangua Kakolanya
Dakika ya 05 Shomari anabutua kwa Kibaya
Dakika ya 04 Mtibwa Sugar Issa Rashid anaokoa hatari ya Mkude
Dakika ya 2 Chama anachezewa rafu

Leo Januari 13, Uwanja wa Amaan ni fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Mtibwa Sugar na Simba.

Mashabiki wengi wamejitokeza leo kushuhudia fainali


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search