-
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wapo tayari kupambana na Lipuli kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Samora ,Iringa dhidi ya Lipuli.
-
-
leo Februari 15, Simba itakaribishwa na Lipuli kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa majira ya saa 10:00.
-
-
Sven amesema:-"Kila mchezaji yupo tayari kwa mchezo wa leo na tumejipanga kufanya vizuri kutokana na maandalizi ambayo tumeyafanya.
-
-
"Lazima tucheze kila mchezo kutokana na hali ambayo tutakutana na mchezo kwa kutafuta ushindi ambao utatufanya tupate ponti tatu muhimu," amesema.
-
-
Simba ipo nafasi ya kwanza kwenye msimamo ikiwa na pointi 53 baada ya kucheza mechi 21.
Watatu mbaroni kwa kusafirisha dawa za kulevya
-
DAR ES SALAAM: WAKAZI watatu wa Kigamboni mkoani Dar es Salaam
wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa
na mashtaka y...
4 months ago
Post a Comment