banner

April 06, 2020

WOJCIECH MLINDA MLANGO WA JUVENTUS AWEKWA SOKONI

WOJCIECH MLINDA MLANGO WA JUVENTUS AWEKWA SOKONI



WOJCIECH Szczesny mlinda mlango wa Juventus amewekwa sokoni ili kutunisha mfuko wa mabosi wa Juventus. 

Mkataba wa nyota huyo ndani ya Juventus unameguka mwaka 2024 na inaelezwa kuwa hawana dalili za kumuongezea dili jingine.

Miongoni mwa timu ambazo zinaelezwa kuwa zinaweza kusepa na saini yake ni Chelsea pamoja PSG.

Msimu huu kwenye Serie A Juventus ikiwa imecheza mechi 26 amekaa langoni mechi 19.


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search