banner

June 22, 2021

URENO YALIWEKA KOMBE REHANI

URENO YALIWEKA KOMBE REHANI

 


WAKATI mechi za kundi F zikitarajiwa kuchezwa kesho Juni 23, Ureno ipo katika hatari ya kuaga mashindano hayo mapema ikiwa itashindwa kupata ushindi mbele ya Ufaransa.

Ureno ambao ni mabingwa watetezi wa taji hilo itacheza dhidi ya Ufaransa iliyo nafasi ya kwanza na pointi nne katika Uwanja wa Puskas ukiwa ni mchezo wao wa tatu kwenye kundi hilo.

Ureno ipo nafasi ya tatu ina pointi nne inatakiwa kujihakikishia nafasi ya kufuzu moja kwa moja hatua ya 16 bora.

Ujerumani iliyo nafasi ya tatu na pointi tatu itamenyana na Hungary wanaoburuza mkia na pointi moja.

Timu zote zina nafasi ya kusonga mbele kutokana na namna pointi zilivyo hivyo ili kuweza kujihakikishia nafasi ya kusonga mbele lazima washinde mechi hiyo.



Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search