KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum Abdallah baada ya kuwasili na wenzake mjini Ruangwa mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Namungo FC kesho kuanzia Saa 2:00 usiku Uwanja wa Majaaliwa.
GONGA KUTAZAMA VIDEO AZAM WALIVYOWASILI RUANGWA
source http://www.binzubeiry.co.tz/2024/04/azam-fc-wawasili-ruangwa-tayari.html
Post a Comment