REFA Ahmed Arajiga kwa mara ya pili mfululizo amepewa dhamana ya kuchezesha mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara keshokutwa kuanzia Saa 11:00 jioni Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
source http://www.binzubeiry.co.tz/2024/04/ni-arajiga-tena-refa-wa-simba-na-yanga.html
Post a Comment