banner

December 26, 2016

CHELSEA YAJIKITA KILELENI LIGI KUU UINGEREZA BAADA YA KUICHAPA BOURNEMOUTH 3-0

CHELSEA YAJIKITA KILELENI LIGI KUU UINGEREZA BAADA YA KUICHAPA BOURNEMOUTH 3-0

Timu ya Chelsea inaongoza Kigi Kuu ya Uingereza kwa tofauti ya pointi 9 ikijikita kileleni baada ya kuifunga Bournemouth magoli 3-0 na kuweka rekodi ya kushinda michezo 12 mfululizo ya ligi hiyo.

Cesc Fabregas alimtengenezea goli Pedro aliyetikisa nyavu kwa shuti la mpira uliobadili muelekeo na kutinga kwenye kona ya juu ya goli, huku Eden Hazrad akifunga goli la pili kwa mkwaju wa penati baada ya kuangushwa na Simon Francis.

Pedro aliongeza goli la tatu katika muda wa majeruhi baada mpira walioupiga kwa shuti kali kumgonga Steve Cook na mpira kukatiza kwenye mstari wa goli.
Mchezaji wa Chelsea Pedro akiachia shuti lililozaa goli
Eden Hazard akikwatuliwa na Simon Francis na kupatatiwa penati
 
 
ILI KUSOMA HABARI ZA UHAKIKA KILA SIKU DOWNLOAD APP YETU YA ZOTE KALI BLOG KWENYE SIMU YAKO BONYEZA HAPA NI BUREE

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search