banner

February 24, 2017

VIDEO: CRISTIANO RONALDO NDANI YA BUGATTI CHIRON

VIDEO: CRISTIANO RONALDO NDANI YA BUGATTI CHIRON

Nyota wa Real Madrid, Cristian Ronaldo ameonekana kwenye tangazo la Bugatti Chiron akijaribisha gari lake hilo jipya ambalo amelivuta kwa mtonyo wa 2.15 million euros.

Christiano Ronaldo ni moja ya mastaa wa mpira wa miguu ambao wanapenda kuendesha ndinga za kifahari, licha ya kuwa na hili toleo jipya la Bugatti Chiron, unaambiwa katika parking yake vilevile anamiliki Bugatti Veryon ambazo zote hizi ili kumiliki unahitajika mkwanja mrefu usio kuwa na mashaka.
Ndani ya tangazo hilo wanamwonyesha Ronaldo akijaribu gari hiyo ambayo bado mpya kabisa na mwisho wa kujaribu Ronaldo pia anaonekana akirudisha funguo kwa wamiliki wa ndinga hiyo.

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search