banner

July 12, 2017

EVERTON YATUA DAR ASUBUHI, WAZIRI MWAKYEMBE USO KWA USO NA ROONEY

EVERTON YATUA DAR ASUBUHI, WAZIRI MWAKYEMBE USO KWA USO NA ROONEY

Msafara wa kikosi cha Everton kinachoshiriki Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ umewasili asubuhi ya leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya Gor Mahia inayotarajiwa kuchezwa kesho Alhamisi.
Katika msafara huo wa Everton uliowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere umepokelewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dr. Harrison Mwakyemberrison.

Waziri Mwakyembe alipata nafasi ya kusalimiana na staa wa timu hiyo, Wayne Rooney ambaye ametua kikosini hapo hivi karibuni akitokea Manchester United

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search