banner

April 24, 2024

YANGA YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKA NA ATCL

YANGA YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKA NA ATCL


KLABU ya Yanga leo imeingia makubaliano ya ushirika na Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) ambapo utazinufaisha pande zote mbili.
Kwa mujibu wa makubaliano hayo, Yanga wataitangaza biashara ya ATCL na wao watapatiwa punguzo la bei kwenye safari zao mbalimbali ndani na nje ya nchi. 
“Hatuwezi kuona huduma ya Air Tanzania inafanyika bila sisi kuitangaza. Kufanya hivyo ni kuunga mkono juhudi za Serikali yetu," amesema Rais wa Yanga SC, Hersi Said.


source http://www.binzubeiry.co.tz/2024/04/yanga-yaingia-makubaliano-ya-ushirika.html

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search