banner

March 15, 2017

HARMONIZE AMTAJA HARMORAPA , AZUNGUMZIA MAPENZI YAKE KWA WOLPER!!

HARMONIZE AMTAJA HARMORAPA , AZUNGUMZIA MAPENZI YAKE KWA WOLPER!!

Star kutoka WCB, Harmonize amefunguka Mapenzi yake na Manka wa Kichaga Jack Wolper kuwa si ya kiki Ila nafasi yake kwenye jamii imefanya yaonekane kuwa ni kiki sababu walianza kutoka kipindi Harmo hajanunua gari.
Mapenzi yao yalianzia Bondeni kwa Madiba Jack Wolper anasema alienda kwa madiba kufanya tangazo kipindi kile alipokuwa single before hajaanza kudate na mshikaji alikuwa shabiki wa Harmonize.
Harmonize ndiye aliyekuwa wa kwanza kumurushia ndoano Jack Wolper alipata namba ya mtoto mzuri kwa Diamond ndipo akaanza kurusha mashairi kwa Manka wa Kichaga mwenye story kadhaa ndani ya Bongo.
Mbali na kufunguka mahusiano yake na Jackline Wolper, Harmonize amezungumzia ni namna gani anamchukulia msanii mwenzake HamoRappa anasema kuwa mshikaji anatafuta riziki hatukani watu na hafanyi jambo baya kwenye jamii kila kinachokuja unatakiwa ukipokee kwa mikono miwili sababu HamoRappa anatafuta riziki
Na dua njema namuombea kwa Mwenyezi mungu amjalie najua wote tunatoka kwenye familia za kimaskini ni wakati wake sasa kuonyesha alichojaliwa
Ukiona mtu anatumia nafasi yako kuvuma ni jambo la kumshukuru mwenyezi Mungu sikatai yupo kwenye mahangaiko atatoka tu ila wapo watu wachache wanafanya nionekane ninia upinzani na Harmo Rappa.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search